Saturday, June 16, 2012

SANDU GEORGE, "KID BWOY" AONGEZA IDADI YA MAPRODYUZA BONGO DSM

Sandu George, maarufu kama Kid Bwoy, ameongeza idadi ya watayarishaji muziki ndani ya jiji la Dar es salaam baada ya kuhamisha studio yake akitokea Mwanza kuja Dar.

Mhunzi wa sauti huyo ambaye pia alikuwa mtangazaji wa kituo cha RFA , kwasasa unaweza kumsikiliza kupitia Tone radio mtandaoni.
Kazi kwenu wasanii.


0 comments:

Post a Comment