Wednesday, June 13, 2012

FLOYD MAYWEATHER ATUPWA RUPANGO KWA KUMPIGA MAMA WATOTO WAKE MBELE YA WATOTO

Mkali wa ngumi za uzito wa juu duniani, Floyd Mayweathe Jr. ametupwa rupango kwa kosa la kumpiga mama watoto wake mbele ya watoto zao.

Mchizi amepigwa mvua za miezi mitatu kukaa ndani ya mjengo,ingawa jamaa ameiomba mahakama iweze kumruhusu akatumikie kifungo chake kwa siku zilizo salia akiwa nje kwani amekuwa hapati treatment nzuri mle ndani na ana wasi wasi na kushuka kwa uwezo wake wa kutupa masumbwi, kitu ambacho hata daktari wake amesapot.
Ijumaa ijayo mahakama itatoa jibu juu ya ombi la mchizi la kutaka apate kifungo cha nje.

0 comments:

Post a Comment