Thursday, June 28, 2012

CHRIS BROWN & DRAKE KUPEWA $ MIL.1 KILA MMOJA IWAPO WATAZICHAPA LIVE KWAAJILI YA 'CHARITY'

Wakali Chris Brown na Drake wameahidiwa ofa ya Dola milioni moja kwa kila mmoja iwapo wataafiki wazo la kuzichapa live ulingoni kwaajili ya kuchangia mfuko wa hisani 'charity'.
 Kwa mujibu wa promota wa wazo  la mpambano huo,Damon Feldman, amesema kuwa pambano litakuwa ni la raundi tatu na ameongeza kuwa atatoa kiasi hichohicho cha fedha iwapo Mdada Rihanna ambaye inasemekana ndio chanzo cha bifu la Brown na Drake, atakubali kuwa 'Ring girl' wa pambano hilo.
“It’s more of a show than anything, and we can raise millions for charity, “Instead of fighting in a bar, they could get paid to fight!""We would like to have Rihanna as a ring girl, as well, but if she doesn’t take our offer, we know she will be watching,”
Hii story ni kwa mujibu wa thehollywoodgossip.com


2 comments:

  1. ha ha haaaa, hilo bonge la idea

    ReplyDelete
  2. hivi kibongo bongo ingekuwaje? ila sidhani km watakubali mpango huo

    ReplyDelete