Wednesday, June 20, 2012

BAADA YA UKIMYA MREFU,MIKE TYSON AFUNGUKA,ASEMA "NILIKUWA MTU WA 'MALAYA' "PROSTITUTE HUNTER"

The heavy weight Mike Tyson,baada ya ukimya mrefu leo amefunguka katika kipindi cha live kupitia runinga ya NBC na kusema kuwa maisha yake ya zamani yalikuwa ni ya kutafuta malaya na kulala nao "prostitute hunter".
Kupitia kipindi hiko cha runinga, Tyson ametiririka mambo yake mengi ya kipindi cha nyuma, na kufanya audience kuwa surprised.
Kuanzia mwezi ujao, July 31 Mchizi atakuwa na show yake mpya kwenye runinga itakayoitwa "Mike Tyson: Undisputed Truth." ambayo itaweka wazi mambo kibao ambayo wengi hawakuyafahamu kabla.

0 comments:

Post a Comment