Monday, June 4, 2012

BAADA YA KUZUSHIWA KIFO D'BANJI AFUNGUKA

Baada ya kuzushiwa kifo mkali kutoka Nigeria Dapo Oyebanjo a.k.a D'Banj amefunguka kupitia akaunti yake ya twitter na kukanusha uzushi huo na kusema kuwa yuko mzima na afya tele.Aliandika haya maneno Pls ignore the nonsense rumours. I’m very much alive and well! Thanks be to God! Thank you 4 all ur concern‘ .
Habari zilizozushwa zilisema kuwa mchizi alipigwa risasi na watu watatu wasiojulikana alipokuwa anatoka Atlanta kwa bosi wake wa G.O.O.D Music Kanye west na kukimbizwa hospitali ya st.Joseph ambako alifariki baada ya dakika chache kutokana na maumivu.
 

0 comments:

Post a Comment