Sunday, October 30, 2011

John Dilinga Matlou ( DJ JD)

We miss ur touches Bro.

weusi wa kaskazini

Sunday, October 16, 2011

HILI NDO JEMBE, BELIEVE ME

UNAWAKUMBUKA DPT?

Bongo hiphop icon that will never be forgotten. Do u know where are they and what they do? Stay tuned

 

BELLA KOMBO: CHAGUO LA WENGI BSS 2ND CHANCE ALIYESTAHILI TUZO NA AKANYIMWA

Shindano la BSS Second chance limeisha kwa kuwashangaza wengi kwa kutupwa nafasi ya mwisho mwanadada pekee ambaye alionesha kipaji kikubwa Bella kombo.

Maoni ya wengi yanaonesha mashaka ya maamuzi ya mwisho. Anyway, hao ndo majaji ambao wanasema wao ndo wenye asilimia 60 za maamuzi na 40 za watazamaji, sasa kama ndo hivyo si wangemaliza zote tu.

Hata hivyo experience inaonesha kuwa wanaopewaga tuzo BSS huwa hawadumu hewani. Mtu kama Kala Jeremiah bado ana shine kwenye game,yuko wapi J4 na waliofuata?

Sunday, October 9, 2011

Professor Jay 2002 VS Ace Hood 2011


Profesa Jay alitoa album ya machozi jasho na damu miaka mingi iliyopita, cha ajabu mwaka huu 2011 Mkali Ace hood katoa album iitwayo Blood, Sweat and Tears ambayo inatafsiri kile alichokisema prof miaka kibao iliyopita.sasa je, ingekuwa vp kama angeanza Ace hood then afuatie Prof? Najua mngesema mengi. By the way Title sio ishu,angalia kazi.